themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 1,033
- 3,720
GWakati Yuko na madam hakukuwa na insta. Mie namuona wa kawaida tu.
Kabisa jamaa enzi hizo ndio wanatoa wimbo wao wa jipe moyo alikuwa anaonekana mple sana,heshima kama zote!! ila Kusekwa kajua kumyoosha!!Nimeanza kumjua huyu bwana kupitia kwa mkewe wa zamani madam flora, kipindi hicho mbasha alikuwa ni mwanaume anayeheshimika na mstaharabu sana, Mbasha alikuwa ni mtu mpole na mnyenyekevu asiyependa makuu na watu enzi hizo yupo na madam Flora
Lakini tokea achukuliwe mke na Daudi kusekwa ndugu yetu amekuwa kama kangeuka, huko mitandaoni anarushiana maneno makali na watu huku anajiita baba wa waimbaji wote wa nyimbo za injili
View attachment 1087638
mshikaji ni nyanya tu
ukijua kabila lake,utaacha kumshangaaNimeanza kumjua huyu bwana kupitia kwa mkewe wa zamani madam flora, kipindi hicho mbasha alikuwa ni mwanaume anayeheshimika na mstaharabu sana, Mbasha alikuwa ni mtu mpole na mnyenyekevu asiyependa makuu na watu enzi hizo yupo na madam Flora
Lakini tokea achukuliwe mke na Daudi kusekwa ndugu yetu amekuwa kama kangeuka, huko mitandaoni anarushiana maneno makali na watu huku anajiita baba wa waimbaji wote wa nyimbo za injili
View attachment 1087638