themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 1,033
- 3,720
Nimeanza kumjua huyu bwana kupitia kwa mkewe wa zamani madam flora, kipindi hicho mbasha alikuwa ni mwanaume anayeheshimika na mstaharabu sana, Mbasha alikuwa ni mtu mpole na mnyenyekevu asiyependa makuu na watu enzi hizo yupo na madam Flora
Lakini tokea achukuliwe mke na Daudi kusekwa ndugu yetu amekuwa kama kangeuka, huko mitandaoni anarushiana maneno makali na watu huku anajiita baba wa waimbaji wote wa nyimbo za injili
View attachment 1087638