Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Kwa mujibu wa katiba yetu ,rais aliyepo madarakani ikitokea kapata dharula ya ugonjwa ambao hawezi Tena kuhudumu kama rais wa nchi ama kupatwa na umauti basi makamu ndiye atarithi nafasi yake ,swali ni je huyu nchimbi anaweza kuvaa viatu vya rais ? Tunaweza kujikuta kwa mara ya kwanza tunapata rais mngoni ? Labda Mimi si mjuvi wa mambo ila nilidhani nafasi ya makamu wa rais kwa sasa wawe wanapewa vijana under 40