Emanuel nchimbi likitokea lolote anaweza kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.je tumempima anaweza kufaa kuwa rais wa nchi?

Kwa mujibu wa katiba yetu ,rais aliyepo madarakani ikitokea kapata dharula ya ugonjwa ambao hawezi Tena kuhudumu kama rais wa nchi ama kupatwa na umauti basi makamu ndiye atarithi nafasi yake ,swali ni je huyu nchimbi anaweza kuvaa viatu vya rais ? Tunaweza kujikuta kwa mara ya kwanza tunapata rais mngoni ? Labda Mimi si mjuvi wa mambo ila nilidhani nafasi ya makamu wa rais kwa sasa wawe wanapewa vijana under 40
Kwa nini una wasiwasi kuwa na Rais Mngoni?😀
 
Kwa mujibu wa katiba yetu ,rais aliyepo madarakani ikitokea kapata dharula ya ugonjwa ambao hawezi Tena kuhudumu kama rais wa nchi ama kupatwa na umauti basi makamu ndiye atarithi nafasi yake ,swali ni je huyu nchimbi anaweza kuvaa viatu vya rais ? Tunaweza kujikuta kwa mara ya kwanza tunapata rais mngoni ? Labda Mimi si mjuvi wa mambo ila nilidhani nafasi ya makamu wa rais kwa sasa wawe wanapewa vijana under 40
nchimbi ni katibu wa chama cha mambuzi, huo urais aupate wapi?
makamu wa rais ni Isdori Philip Mpango
 
Kwa mujibu wa katiba yetu ,rais aliyepo madarakani ikitokea kapata dharula ya ugonjwa ambao hawezi Tena kuhudumu kama rais wa nchi ama kupatwa na umauti basi makamu ndiye atarithi nafasi yake ,swali ni je huyu nchimbi anaweza kuvaa viatu vya rais ? Tunaweza kujikuta kwa mara ya kwanza tunapata rais mngoni ? Labda Mimi si mjuvi wa mambo ila nilidhani nafasi ya makamu wa rais kwa sasa wawe wanapewa vijana under 40
Kwani wanapimwa wapi.
 
Back
Top Bottom