Ndugu umepanga nn mbelen mbona sijkuelewaKwa mujibu wa katiba yetu ,rais aliyepo madarakani ikitokea kapata dharula ya ugonjwa ambao hawezi Tena kuhudumu kama rais wa nchi ama kupatwa na umauti basi makamu ndiye atarithi nafasi yake ,swali ni je huyu nchimbi anaweza kuvaa viatu vya rais ? Tunaweza kujikuta kwa mara ya kwanza tunapata rais mngoni ? Labda Mimi si mjuvi wa mambo ila nilidhani nafasi ya makamu wa rais kwa sasa wawe wanapewa vijana under 40
Ndio wapi hapaSubiri kizimkazi hakusikie .Kesho watakuundia ubalozi nchini tuvalu watakupeleka haina viza na ina barabara moja tu.
View attachment 3267696
Watanzania wengi hawana akili timamu nakuunga mkono kwenye hiliHata zezeta au chizi anaweza kuwa raisi wa Nchi hii, cha muhimu ni kuboresha Yanga na Simba kwasababu Wananchi wako radhi kuandamana kwa gazabu kwa ajili ya Simba Yanga hata kama wanashindia mlo mmoja.