Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu dada sijui siku hiz atakuwa wap jaman Na yeyeNdio aliimba na jasmine flowers sio
Huyu dada sijui siku hiz atakuwa wap jaman Na yeyeNdio aliimba na jasmine flowers sio
Karibu tena!Mkuu [HASHTAG]#vesta[/HASHTAG] nashukuru nimefanikiwa
Ulifanikiwa?Kwangu zote zinarudia wimbo mmoja "umasikini m'baya"..
Nisaidieni nauhitaji sana huo Miss Tanzania
Dah.Old is Gold sio...Pain in me imenikumbusha kitambo sana. Miaka ya 2000s mwanzoni. Enzi hizo nasikiliza kipindi cha chombeza time Radio one, sijui bado kipo hiki kipindi na makali yake yako kama zamani?
Mimi nahitaj zile old is gold ntapataje Mkuu?Mi mwendo wa kurequest tu, hapa nina 2TB imejaa music...krb kwenye request line!
Ninachojua jamaa ni Msukuma2003 kuna sehemu anapenda sana kuja hapo maeneo ya moshi nilishamkuta kama zaidi ya mara 4 sijui ndugu zake au huyu jamaa katokea mkoa gani