Kaa tayar na ww anakuja kukutemeaWana bodi, nimekuwa nikimfuatilia mchezaji huyu, utemaji wake wa mate umejaa dharau iliyopindukia.
Anavyotoka uwanjani ana kseaida ya kutema udenda kabisa kama toto dogo lenye madenda na makamasi.
Ajiheshimu buana, anasababisha hadi tunaokula au kunywa kushikwa na kichefuchefu.
Kwa nini usiteme kistarabu?
Wacha uboya buana[emoji17] [emoji18] [emoji30]
Hawa wachezaji ndio wa kupimwa madawa ya kuongeza nguvu michezoni, tff wanangoja dalili gani tena!Haaaa haaaa ngada mbaya jamani
Msugua benchi kafunga magoli mengi kuliko magoli yote yaliyofungwa na timu yakoNdiyo kisa cha kusugua benchi uzunguni
Msugua benchi kafunga magoli mengi kuliko magoli yote yaliyofungwa na timu yako