ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,938
- 6,942
Wana bodi, nimekuwa nikimfuatilia mchezaji huyu, utemaji wake wa mate umejaa dharau iliyopindukia.
Anavyotoka uwanjani ana kseaida ya kutema udenda kabisa kama toto dogo lenye madenda na makamasi.
Ajiheshimu buana, anasababisha hadi tunaokula au kunywa kushikwa na kichefuchefu.
Kwa nini usiteme kistarabu?
Wacha uboya buana[emoji17] [emoji18] [emoji30]