Kwa hiyo msugua benchi wa uzunguni anamagoli mengi kuliko timu yako??Uzunguni nimesema
Tena atamtemea ndani kabisa!Kaa tayar na ww anakuja kukutemea
So far yes. Lakini mwisho wa msimu Bingwa ni yule yule. Yanga!Kwa hiyo msugua benchi wa uzunguni anamagoli mengi kuliko timu yako??
Kama bingwa ni yuleyule yanga kwanini ligi inachezwa??So far yes. Lakini mwisho wa msimu Bingwa ni yule yule. Yanga!
Kutimiza ratiba na wajibu. Luku zisi mayi furendi:-Kama bingwa ni yuleyule yanga kwanini ligi inachezwa??
sawa mabingwa mnaozidiwa magoli na okwiKutimiza ratiba na wajibu. Luku zisi mayi furendi:-
1. 2014/2015 Yanga bingwa kwa wingi wa magori.
2. 2015/2016 Yanga bingwa kwa wingi wa points
3. 2016/2017 Yanga bingwa kwa wingi wa magori.
4. 2017/2018 Yanga atakuwa bingwa kwa wingi wa points.
Sasa simba kwa kuangalia trend ya Yanga wameamua kufunga magori, wakati sisi tutachukua ubingwa kwa points.
Usihadaike na vi points vya simba hadi sasa, eti nani anaongoza. Kama unafuatilia, tayari simba imeongoza ligi, yanga imeongoza ligi na mtibwa imeongoza ligi.
Lolote laweza tokea, lkn kuliko simba kuwa bingwa, bora awe mtibwa.
Hujiulizi kwa nini Bundesliga inaendelea wakati Bingwa atakuwa Bayern Munich?Kama bingwa ni yuleyule yanga kwanini ligi inachezwa??
Mtapigwa viwili kwa moko