Emanuel Okwi wa Simba acha dharau

Emanuel Okwi wa Simba acha dharau

Kama bingwa ni yuleyule yanga kwanini ligi inachezwa??
Kutimiza ratiba na wajibu. Luku zisi mayi furendi:-

1. 2014/2015 Yanga bingwa kwa wingi wa magori.
2. 2015/2016 Yanga bingwa kwa wingi wa points
3. 2016/2017 Yanga bingwa kwa wingi wa magori.
4. 2017/2018 Yanga atakuwa bingwa kwa wingi wa points.

Sasa simba kwa kuangalia trend ya Yanga wameamua kufunga magori, wakati sisi tutachukua ubingwa kwa points.

Usihadaike na vi points vya simba hadi sasa, eti nani anaongoza. Kama unafuatilia, tayari simba imeongoza ligi, yanga imeongoza ligi na mtibwa imeongoza ligi.

Lolote laweza tokea, lkn kuliko simba kuwa bingwa, bora awe mtibwa.
 
sawa mabingwa mnaozidiwa magoli na okwi
 
sawa mabingwa mnaozidiwa magoli na okwi
Siyo tatizo. Hivi hamuoni aibu kubishana na bingwa mara tatu mfululizo?

Kama ni mechi, mtu akifunga matatu, si anapewa mpira? Hivi kanuni hiyo inatumika hadi kwa vikombe?
 
Hujiulizi kwa nini Bundesliga inaendelea wakati Bingwa atakuwa Bayern Munich?
Simba wanatumia masaburi kufikiria. Samahani, nimekumbuka huo msemo, wa kitambo kweli
 
Back
Top Bottom