Embe ulipendalo ni lipi?

Embe ulipendalo ni lipi?

Jamani je lile embe sindano kwa kina dada mmelila, unakula linangangania kwenye fizi lakini bado unanyonya tuuuuuuu.....
 
Jamani je lile embe sindano kwa kina dada mmelila, unakula linangangania kwenye fizi lakini bado unanyonya tuuuuuuu.....

utamu wake unaozidi kero ndogondogo kama za kungángánia ktk fizi, haiwezekani kuliacha
 
unaangua mwenyewe, na kadri unavyojishughulisha ndio unavyozidi kupata mengi

Mkuu inabidi tuhamie Zenji, CV zake mkuu nidokeze maana nisiingie kichwa kichwa, Zenji napaogopa kina yakhe hawachelewi kukugeuza embe la msimu....
 
Kuna ashakula embe aina ya "Nyonyo" hilo ndio mwisho wa mambo, jaribuni muone. Ila linahitaji usafi zaidi, la sivyo utajichafua!! linapatikana sehemu za upareni.
 
Kuna ashakula embe aina ya "Nyonyo" hilo ndio, mwisho wa mambo, jaribu uone. Ila linahitaji usafi zaidi, la sivyo utajichafua!!

this is very nyuuuuuuuuuuuuuuuuuuu,........................ mpya kabisa hiyo inapatikana wapi hiyo embe....
 
Kuna ashakula embe aina ya "Nyonyo" hilo ndio, mwisho wa mambo, jaribu uone. Ila linahitaji usafi zaidi, la sivyo utajichafua!!

Mashallalleh..... Hilo wasifu wake wa nje tu linatisha....haswa kitu kitamu huhitaji usafi...

Nyonyo embe malidhawa, hakika ninahitaji,
Hata wewe man gawa, njoo kwetu mwana iji,
kunako kama madhiwa, sifia kunako maji,
Eti wewe wala nyonyo,nigawie nami pia....
 
Back
Top Bottom