Embrace your natural colour

Embrace your natural colour

SLEDGEHAMMER

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2017
Posts
1,030
Reaction score
5,969
Before beginning presenting on what has been bothering me for along long time,I would love to greet you all and also inform you that i will be using using swanglish to communicate.If you have a problem with that you may just leave.

Well,my experience through watching news,movies,cartoons,music pamoja na kuishi kwenye jamii kusoma posts na replies mbalimbali za humu JF na other medias, nimegundua yafuatayo;

1.Watu wenye asili ya kiafrika wana ubaguzi wa rangi kati yao.

2.Wanajiweka kwenye makundi ya uzuri na ubaya kupitia criteria ya rangi.

3.Wanawake wakiwa wahanga wakubwa wa huu ubaguzi.

4.Since the ''ideal color" is light,most of the dark women in complexion have been going through the struggle to accept themselves or to be accepted in the society.

5.This has brought us to the denial stage ambapo most of women in social media are light skinned thanks to photoediting,and few are darkskinned in real life thanks to make-up and cosmetics.

6.The media,and worse enough the African media is the fuel on this wicked fire.
-Nilivokuwa mdogo cartoons weusi nilikuwa siwaoni kwenye tv..labda that black maid kwenye tom and jerry na wengine wachache

-In most movies the black characters get to die first..heroes wanakuwa wazungu.Atleast saivi kuna Empire and other black movies.

-Music nyingi nazoangalia the video queens get to be the light skinned ones or white girls same goes to movies.

-Ma superstar wengi wakike ni lightskinned.
6.Huko USA ambapo bado wanachangamoto,wanawake weusi wanachubua ngozi za watoto wao ili wasiwe bullied shuleni au bora wazae na wazungu.

7.Wanawake weusi hawataki kuzaa au kudate na wanaume weusi,
Na wanaume weusi viceversa.Wakati watu weupe hawana tatizo.


Mifano kibao tu.Siwezi kumaliza.My question is,who do we want to impress?
Mwanamke mweusi hajiamini mpaka aambiwe mzuri kisa uweusi ni rangi "mbaya"
Akisikia mtu kasema hapendi msichana mweusi anapanick anakuwa depressed!

Jamani,mimi ni mweusi,namshukuru Mungu nimelelewa kwenye familia inayojielewa,kwahiyo mimi toka mdogo uzuri wa mtu kimwonekano (siongelei tabia hapa maana hatujui tabia za video queens) huwa siangalii rangi yake pekee.

Eti kisa ni mweusi she is beautiful au kisa ni mweupe ni mzuri,hapana,kwangu mimi weupe always ulikuwa attractive kwangu kwani mtu toka mbali anavutia ila ukiwa karibu ntakuona kama ni mzuri or not,weusi kwangu mimi ni color ambayo I found normal yani nilikuwa naona kila mtu anayo sioni cha kushangaza na nilivyo honest sijuwa natabia ya kumwambia mtu mweusi au mweupe mzuri kama ni wa kawaida.Na ninayemwona wa kawaida mwingine anamuona mzuri sana.

Unaona?! Beauty lies in the eyes of the beholder.

Mimi sijuwahi kamwe kufikiria kubadili rangi maana skuwahi kuona the logic behind,kweli
by the way as a science student nayeishi bongo na nayependa kwenda beach hii ndio rangi sahihi kwangu since the melanin protect the skin from harful uv.

My first boyfriend was brown,wapili dark,
My current boyfriend mweupe.Asa sijui shida iko wapi ndugu zangu.

Unakuta a girl kacomment humu jf anasema nyie ndo mnatufanya tujichubue
Halafu akiulizwa ana rangi gani atasema mi mweupe...eh Mungu hizi avatar hizi.
Yani bora hata wanawake weusi hawajichubui kama wabrown na haohao weupe..wanataka wawe perfectly light skinned.

Kha,kwanini hatujiamini jamani.Uwe mweusi uwe mweupe sio kila mtu atakupenda uwe mwanaume uwe mwanamke,kwanini usijiamini na kujikubali tu.
Kwanini ukiitwa cheusi au blackie hupendi?

Kingine unakuta mwanaume anakuja ananiambia yani (my name) we ni mzuri ungekuwa mweupe pasingetosha.

Sijui ananiambia ili nijisikie vipi.Mimi hata ningekuwa mweupe roho yangu ni ileile.Bado nisingekaa kuwaelewa waafrika.We are never going to be independent kwa mwendo huu.Bado tunamuabudu mzungu.

Kama wewe ni mweupe,wa njano,brown,dark napenda nikuambie kuwa uzuri wako kimwonekano ni perception na mapenzi ya mtu mwingine.Wewe kama wewe jikubali,jipende na jitunze.Acha kuedit picha mpaka wanasema sio wewe.
Be you.be original.

To all girls out there naomba usisubiri kuambiwa mzuri au mbaya
Jijubalii na kuna watu watakukubali.
357a07058c3c8031eb75f8ecc4fd2b5a.jpg


Please please please embrace your color! Love yourself!
Thanks for reading.
9702993b903731cbcc020cd805d5b2ae.jpg

41f86374ece9ecf9e84712adb8c5d903.jpg

52d8c773272649b43f6bd2ef9c115687.jpg

897185a5b81c4870377ac2bdab223e83.jpg

3056441830dd4e25d326ac2fff95bf20.jpg

80d7c588ded2aeff1dafd67e0f595ee9.jpg

48be8a752353399c2beb27abf0bf3489.jpg

fe832f2606cf1dde1afd9bea7f5df895.jpg
 
Naomba nikuulize swali.... unaweza kuchanganya nguo nyeupe na nyeusi wakati unafua????

Ubaguzi wa rangi unaanzia nyumbani kwako. lol.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Dah mabinti mmpeta avatar za kuweka hapo. Ila kiukweli rangi nyeusi isiyo changanyw na makemikali ni taaaaamu saana inavutia na niyakipekee
 
Naomba nikuulize swali.... unaweza kuchanganya nguo nyeupe na nyeusi wakati unafua????

Ubaguzi wa rangi unaanzia nyumbani kwako. lol.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Jamani unafananisha nguo na binadamu? Dah[emoji2]
Like seriously? Wote tunajua kwanini tunatenga nguo nyeupe kwasababu zisipate rangi ya nguo nyingine.kwahiyo hazichanganywi.
Ubaguzi wa rangi umetokana na mentality kuwa darkskinned people walikuwa slaves kwahiyo lower class katika jamii.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani unafananisha nguo na binadamu? Dah[emoji2]
Like seriously? Wote tunajua kwanini tunatenga nguo nyeupe kwasababu zisipate rangi ya nguo nyingine.kwahiyo hazichanganywi.
Ubaguzi wa rangi umetokana na mentality kuwa darkskinned people walikuwa slaves kwahiyo lower class katika jamii.


Sent using Jamii Forums mobile app
Hehehe nilikua nafurahisha genge tu don take it serious....
Hivi unajua hata sisi tunabaguana.... hebu angalia mtoto akiwa mweupeee vile anavyopendwa kila mtu atambeba na kumsifiaaa "mtoto wa fulani mzuuuuri, mweupeeeeee" sasa ngoja aje mtoto mweusi wengine hata kumuangalia hawamuangalii.

Hii kitu ya ubaguzi haiwezi kuisha milele na milele, funny thing hata hao weupe wanabaguana kwa nywele zao na hata ngozi.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Back
Top Bottom