Patrice Diounis
JF-Expert Member
- Jul 24, 2023
- 1,086
- 2,254
Taja mwenyewe 'kumwaga mtama' ili wadau washee, si'wengine hatumjui.View attachment 3588919Oooh Mapenzi hayana umri haya ona sasa.
Mtu na akili zake kaamua kuwa Last Born katika familia ambayo yeye mwenyewe ni Baba.
Ukumbuke familia hii hajaianzisha yeye bali kajiunganishia juu kwa ju.
Sasa analea Watoto ambao kiumri ni kaka zake.
😁😁Ushamjua ?
View attachment 3588919Oooh Mapenzi hayana umri haya ona sasa.
Mtu na akili zake kaamua kuwa Last Born katika familia ambayo yeye mwenyewe ni Baba.
Ukumbuke familia hii hajaianzisha yeye bali kajiunganishia juu kwa ju.
Sasa analea Watoto ambao kiumri ni kaka zake.
😁😁Ushamjua ?
Mhaya akisema anatembelea BMW usimuamin kbs