Embu nipeni japo sifa chache za kabila la wajaluo hasa kwa upande wa wanaume?

Embu nipeni japo sifa chache za kabila la wajaluo hasa kwa upande wa wanaume?

1. wanaume wa kijaka(wajaluo) hawakati magovi
2. wanawake wao wanapenda kuchapika nje ya ndoa!
3.ujaluoni mjomba anaweza kula mpwa(binti) yake and vice versa!
4.wanapenda sana makande!
5.hawa watu popote pale walipo hupenda kuongea kijaka(kijaluo) i.e lugha yao!

Vip wahaya na wachaga wakiwa mahali hawaongei lugha yao???
 
Hawapendi kuitwa wajaruo hujiita LUO

Binafsi nimesoma nao wengi saana Nadhani 30% ya shule walikuwa ni wajaruo Nilichojifunza ni kuwa hakuna kabila lenye tabia za kipekee

Nimekutana na wajaluo wa hovyo kama Solomon na wajaruo wema kama Daniel omamo oloo

Nimekutana na wajaluo wakorofi kama Otada,oturo pia nimekuta na wajaluo wapole kama
Kelvin jabir
Felix odhiambo
Samson olale
Owiti
Odondi No

Hawa watu wanapenda saana makande na uji (nyuka)
Ochio nade
 
Baada ya kuishi nao hasa kule Kanda maalum niligundua yafuatayo, Wanaume wao ni majasiri Sana, mwanaume wa kijaluo kwanza ana wivu na mke wake, iyo ipo Kwa kila mwanaume rijali, pili Mwanaume wa kijaluo qnapenda Sana familiya yake, Wanaume wa kijaluo wanajipenda Sana ..Wanaume wa kijaluo hawapendi kutawaliwa tawaliwa kiboya, Wanapenda kusifiwa....hasa nyakati wakiwa na pesa mingi.
Wanaume wa kijaluo Wanapenda kuabudiwa na jamii yake hasa akiwa na pesa.
Wanaume wa kijaluo hawaogopi.
Wanaume wa kijaluo Wanapenda Sana miziki Yao.
Wanaume wa kijaluo Wanapenda kula vizuri vyote...
Kwenye maswala ya kutahiriwa jamaa siku hizi Wanapenda Sana SaRO(Jando) na hii kutokana na hali alisi ya usasa juu ya magonjwa yanayoweza kuambukizwa Kwa njia ya kujaamiana, pili inakuwa ni aibu Kwa vijana wasiopitia hiyo steg, nakumbuka Kuna miezi kadhaa vijana wanakusanyika Wanapenda kufanyiwa tohara sehemu mahalum,Kisha wanafanyiwa sherehe ..na huu utamaduni umekuwa baada ya kuanzia kuoleana Kati ya kabila mbili Luo na Kurya, mwisho wa siku wamepeana na kubadilishana Sana tamaduni.
Swala la kuridhiana wanawake...ni kweli hilo lipo, nasiyo Kwa waluo tu ,bali Kwa makabila mengi Sana apa nchini, Kwa mfano uko pwani, kusini mwa Tanzania na hata baadhi ya mikoa ya Kanda ya ziwa...hata Kurya pia ufanya hizo Mila ...
 
Back
Top Bottom