Embu nishaurini

Kumekuchaaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Za jioni natumai wote mmekula na kushiba!

Mwezenu sasa hapa nimepata ka feeling fulani hivi yaani natamani mtoto wa mtu anipende two yaani anione wivu mda wote yaani mda wote aniembie tu ilove you

Natamani nimpendeeeeee sna mda wote niwe nae karibu
So unataka umlipe mtu akupendee I don't understand anything oh .

Au unahitaji mpenzi anayekupenda
 
Jibu la pili lipo sawa [emoji23]
Unamdomo mchafu sana unaaita watu Malaya unawaona wanawake mavi Sasa nani mavi kama wewe .

Huwezi para mwanamke anayejitambia kama unatabia mbaya.

Heshima nikitu Cha buree na utabakia single kwa tabia mbaya .
 
Ata asipokuwa na hela??

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Atapata wapi na mdomo unanuka atapata Malaya tu mpaka afe ukiwa mpuuzi huwezi pendwa serious
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] DA maua kwan huyu kaka ananukaa mdomooo???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…