Embu nishaurini

Embu nishaurini

Za jioni natumai wote mmekula na kushiba!

Mwezenu sasa hapa nimepata ka feeling fulani hivi yaani natamani mtoto wa mtu anipende two yaani anione wivu mda wote yaani mda wote aniembie tu ilove you

Natamani nimpendeeeeee sna mda wote niwe nae karibu
So unataka umlipe mtu akupendee I don't understand anything oh .

Au unahitaji mpenzi anayekupenda
 
Jibu la pili lipo sawa [emoji23]
Unamdomo mchafu sana unaaita watu Malaya unawaona wanawake mavi Sasa nani mavi kama wewe .

Huwezi para mwanamke anayejitambia kama unatabia mbaya.

Heshima nikitu Cha buree na utabakia single kwa tabia mbaya .
 
Back
Top Bottom