Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
-
- #161
Sasa nisimuamini kwann? Akati anakujua lol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] oooh mie nkajua, mnajuanaa bhanaaa.Hatujuani aki sema tumexoeana sana hapa jf
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] oooh mie nkajua, mnajuanaa bhanaaa.
Bas mbna fahamiana, nlidhani hivyoo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kujuana si mpaka mlale wote kitanda kimoja?
Bila,shaka umetoka ku experience break up, umekaa single so una feel lyk involving again 😆Za jioni natumai wote mmekula na kushiba!
Mwezenu sasa hapa nimepata ka feeling fulani hivi yaani natamani mtoto wa mtu anipende tu yaani anione wivu mda wote yaani mda wote aniembie tu ilove you
Natamani nimpendeeeeee sna mda wote niwe nae karibu