Embu nishaurini

Embu nishaurini

Za jioni natumai wote mmekula na kushiba!

Mwezenu sasa hapa nimepata ka feeling fulani hivi yaani natamani mtoto wa mtu anipende tu yaani anione wivu mda wote yaani mda wote aniembie tu ilove you

Natamani nimpendeeeeee sna mda wote niwe nae karibu
Bila,shaka umetoka ku experience break up, umekaa single so una feel lyk involving again 😆
 
Back
Top Bottom