Embu nishaurini

Embu nishaurini

Khaaa mie huyo embu angalia comment zangu kwenye thread zako nakubembelezaga wewe huoni?
Wala mmeniitaga na na vvu yaani Mungu anajua yote kwanini nadhihakiwa na wote wanaonidhihaki Mungu atawanyima hitaji la mioyo yenu hadi mje mniombe msamaha nilishamuomba na pia naomba hapa Mungu ulisema utawalipiza wote wanaonidhihaki Mimi bila shida yeyote siwajui ila wao wananidharau mie Mungu ulisema unateta watakaoteta namimi naomba Mungu iwe hivyoo.
 
Mh dada angy samehe unakeleka na watu ambao huwajui waachilie
 
Sisi tumekula tukasiba. Wewe nenda kale ushibe pia halafu hako kafilingi kataondoka. Haujala ndio maana
 
Wewe Kaa tu humu tuma[emoji1][emoji2] tu wadangaji wenzako wanidhihaki ipo siku Mungu atawakatana upangaa

Hauwezi kunifikia kwasababu Mungu wangu ni wahaki sio kama wako ambaye anawatakiwa watu mabaya [emoji23]

Kwani yule babu ulikuwa unamgombani ushampata [emoji23]
 
Attachments

  • SmartSelect_20230118-172424_Chrome.jpg
    SmartSelect_20230118-172424_Chrome.jpg
    37.5 KB · Views: 3
Back
Top Bottom