Annonymous
JF-Expert Member
- May 9, 2013
- 688
- 1,126
😯😯😯 mwendo wa tege hpana. Kugongwa na motokaa sio shida shida spika zitabaki zinatoa kale kamlio ketu pendwaaaa, kale kembamba kakistaarabu kanakobadirisha story hata kama n kikao cha harusi wajumbe wanakajadiriAngalia sasa usinywe ukapitiliza ukagongwa na gari