Nipo hapa babe
Wacha π sijui nifanyaje na mimba yake eti inamiezi 3 mama yake anajuaNipo hapa babe.
Lkn huyo Carrasco juzi tu kamtapeli jimama pesa yote alokopeshwa kweny kikoba.
Samalekooo π¬π¬π¬Kama yupo unaeshibana nae humu iwe mpenz,au rafiki embu mtag muanze kuchat chochote hata mlichofanya Jana usiku ila nas tujifunze,ikiwa mliduu,au biashara au chimbo.
Nianze na hawa Criston Cole na harakati za siri endeleeni kuchat hapa.
Kuhusu Mimi ninao wengi ivo nitatag wengi mno ila naomba nianze na dronedrake
Mdogo wangu π₯°π₯°Nipo hapa babe
Hyo mimba ntakutafutia mtu mwingine aileee lkn huyu hapana πππWacha π sijui nifanyaje na mimba yake eti inamiezi 3 mama yake anajua
Shikamoo kaka NationalMdogo wangu π₯°π₯°
Naomba huo msaada pleaseHyo mimba ntakutafutia mtu mwingine aileee lkn huyu hapana πππ
Marahabaa mdogo wangu nikupendae kutoka uvunguni mwa mwoyo wangu πShikamoo kaka National
Shukrani doll[emoji120]Karibu cute,ya October hii imeamshwa tena
Sio kweli aiseee, lakini mkifurahi baadae huwa mnakuwaga na majuto na hasira za hovyo hovyo sanaMkituogopa tunafurahiπ π
Kwa hyo unanitoa lunch?Marahabaa mdogo wangu nikupendae kutoka uvunguni mwa mwoyo wangu π
Kimya??Shikamoo kaka National
We love u muchy muchy πππππNawapendaga mnoooo πππ
Usijali dear msahada ni haraka iwezekanavyo.Naomba huo msaada please
Chaguaaa tu sehemu ambayo roho yako itafurahi twendeKwa hyo unanitoa lunch?
Chaguaaa tu sehemu ambayo roho yako itafurahi twende
Imepitaa hiyooo nakupitia sasa hiviii π€Wag hill ndogo kaka angu.
Here for you my queen π₯°ngoja nimuite Half american uje tuchat basi kipenzi π
unaendeleaje πHere for you my queen π₯°