Back N days
JF-Expert Member
- Apr 9, 2026
- 350
- 914
We fala kweli et ng'ang'ana😁😁Usikubali. Ng'ang'ana kama wako
SHWINE!!!
Kweli expert nashauri sana tusiruhusu mazoea kabsa na wanawake walio olewa wengi wao niwapuuzi wanashawishi sana utajikuta umemtongozaHuo ndio uamuzi sahihi
Kweli kabisa hawa ni sumu sana kwa mustakabali wa maisha yako,ni bora kuwaepuka haijalishi wanakukubali kiasi gani,mwisho wa ubaya ni aibuKweli expert nashauri sana tusiruhusu mazoea kabsa na wanawake walio olewa wengi wao niwapuuzi wanashawishi sana utajikuta umemtongoza
kabsa mkuu usiruhusu ukaribu naoWake wa watu wamekuwa wepesi mpaka inaogopesha
Well saidAchana na mke wa mtu, wanawake wazuri wapo wengi mtaani wazuri hawana waume wala wapenzi. Kuingia kwenye mahusiano au ndoa ya watu ni kuchafua agano la watu na kuingia kwenye agano la watu.
Mwisho wa siku utajikuta unaingia kwenye matatizo kijana
IgnoredMe naona bora undelete nae.
MchakateGentlemens woz-up?
Ipo hivi kuna mke wa mtu tulikutana tumezoea na kuanza mahusiano ya kimapenzi japo hatukuwai kutana kimwili hata siku moja .
Kwa maana anadai mme wake yupo nae anamchunga sana hivyo kutoka inakuwa kipengele kwake .
Sasa mimi nimeona isiwe case tuachane tu make nitakuwa nimeepuka mengi kuliko kuwa nae kwenye mahusiano na kusubili upenyo( nafasi) nipewe mbususu nichakate nimeamua kujitoa huko.
Au wakuu ninyi mnasemaje hapo?
Wamekuwa na matanio ya kuwa na more than one partner na waoWake wa watu wamekuwa wepesi mpaka inaogopesha
Namwoje ajaachikaMuoe
Boya wewe😁😁Mchakate
Uchakatwe