M Maghayo JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 20,307 Reaction score 47,210 Aug 8, 2022 #21 classic king said: ndio nani hawa sisi wengine tupo nansio huku visiwani hatuwajui hao Click to expand... Hao ni macelebrities uchwara kutoka Nyarugusu ndani ndani huko.
classic king said: ndio nani hawa sisi wengine tupo nansio huku visiwani hatuwajui hao Click to expand... Hao ni macelebrities uchwara kutoka Nyarugusu ndani ndani huko.
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 12,207 Reaction score 26,521 Aug 8, 2022 #22 ankai said: Mmmh umenchekesha mno asee Click to expand... Uchawa wa bongo wakijinga sana utakuta mchezaji anamshukuru mheshimiwa Rais kwa kupata tuzo.Mimi uongozi wangu nitakua nawachana live machawa wote mpaka wakinikimbie ,mambo ya kijinga kama hayo yalipelekea watu kumfananisha Yesu na Magu.
ankai said: Mmmh umenchekesha mno asee Click to expand... Uchawa wa bongo wakijinga sana utakuta mchezaji anamshukuru mheshimiwa Rais kwa kupata tuzo.Mimi uongozi wangu nitakua nawachana live machawa wote mpaka wakinikimbie ,mambo ya kijinga kama hayo yalipelekea watu kumfananisha Yesu na Magu.
B boomgate JF-Expert Member Joined Jan 15, 2021 Posts 488 Reaction score 780 Aug 8, 2022 #23 Kamati ya ccm iko kazini, shida ya mpira wa tanzania una siasa sana ndo maama wakati mwingine unatumika kupitisha ajenda za serikali na ccm pia
Kamati ya ccm iko kazini, shida ya mpira wa tanzania una siasa sana ndo maama wakati mwingine unatumika kupitisha ajenda za serikali na ccm pia
Bzero Member Joined Jul 29, 2022 Posts 86 Reaction score 180 Aug 10, 2022 #24 Nidhamu ya uoga + kujipendekeza