Embu zitafakari izi picha kisha toa lililo moyoni!

Embu zitafakari izi picha kisha toa lililo moyoni!

Mmmh umenchekesha mno asee
Uchawa wa bongo wakijinga sana utakuta mchezaji anamshukuru mheshimiwa Rais kwa kupata tuzo.Mimi uongozi wangu nitakua nawachana live machawa wote mpaka wakinikimbie ,mambo ya kijinga kama hayo yalipelekea watu kumfananisha Yesu na Magu.
 
Kamati ya ccm iko kazini, shida ya mpira wa tanzania una siasa sana ndo maama wakati mwingine unatumika kupitisha ajenda za serikali na ccm pia
 
Back
Top Bottom