Emelda Mwamanga(BANG) aelezea bifu lake na Jacky pamoja na the late Mengi

Angalia vizuri post zetu ni sie tuliosema hivyo au zile vuvuzela za insta? Dont panic hakuna anayemchukia jack humu
Naanzaje kupanik kwa yasiyonihusu mkuu? Nimetoa tu ushauri kwa wanawake majungu sio mtaji. Usifurahi mwenzio akipata tatizo leo maana hakuna aijuae kesho yakee
 
Majungu ni mtaji tosha kwa wanawake pote duniani teena na wanaume siku hizi nao wamo
Naanzaje kupanik kwa yasiyonihusu mkuu? Nimetoa tu ushauri kwa wanawake majungu sio mtaji. Usifurahi mwenzio akipata tatizo leo maana hakuna aijuae kesho yakee
 
Pesa mwana Izaya!
 
Warumi huu umbea umeutia chumvi. Walikubariana kabisa awapige picha na hakuwapiga kwenye tukio la kuvishana pete ilikuwa baada ila walivaa nguo za kwenye tukio na alisafiri akawafuata south. So kabla ya kuweka picha walikubariana atawatumia picha wachague ni zipi atakazotumia kwenye jarida na aliwatumia wakachagua akatengeneza jarida. Before halijatoka emelda akashangaa jacky kapost hizo picha na captions wakati makubariano ilikuwa hatofanya hvyo ili habari iwe exclusive. Sa kumhoji jacky jacky akamwijia juu na kusema amegairi hataki awatumie kwenye kijarida chake wakampga biti akilitoa wanampeleka mahakamani wakati imelda alikuwa ashaprint majarida anasubir kuyatoa
 
manengelo una mume kumbe?! Siku zote najua wewe ni dume la mbegu. Ulimola poti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…