Emerald hotel Zanzibari, kwa sasa ni The Mora Zanzibar hotel

Mkuu Tlaatlaah Je hadi hapo umeshajibu maswali yangu?
 
Tlaatlaah mimi ni raia, mlipa kodi na mpiga kura wa kawaida wa huku shamba ya baina ya Charawe na Ukongoroni.
Maswali yangu naona hujayajibu mkuu.
 
Sasa mbona wauliza maswali yako mahali ambapo sio sahihi...

Majibu ya maswali yako wanayo hao unaowaita mawaziri...
 
kwani usiende hapo ukawaulize?
 
Tlaatlaah mimi ni raia, mlipa kodi na mpiga kura wa kawaida wa huku shamba ya baina ya Charawe na Ukongoroni.
Maswali yangu naona hujayajibu mkuu.
bas sawa,
vuta subra kidogo, bilashaka umewakilisha wengi ambao pia labda wangependa kufahamu kinachoendelea japo ni kazi za kawaida tu za kila siku...

kwa wakati muafaka ikionekana inafaa basi wahusika wataeleza kinagaubaga kinachoendelea na moyo wako na wengine ipate kutulia πŸ’πŸ’
 
Shukurani sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…