Sabalheri babu Asprin...umezeeka sana siku hizi ona kina Chocs, mimisa, Lady doctor et al wanajiingilia tu humu jukwaani chupi mkononi na wanatoka salama!!!!
Sshhhh!!! nipo chumba cha upasuaji nafanya surgery...kuna mtu kakatwa kifanyio ndio tunakirudishia....
Haya fungukaHebu kam zis wei nikunong'oneze alichosema......:A S kiss:
hivi kikikatwa panakuwaje?
Hahahahahahahah...mabwaku!!Kama mtoto wa kike alivyo...kinabakia kisambusa!!!
Nifunguke hapa hadharani na watoto bado hawajalala? Ushakuwa mkubwa bana....Haya funguka
Hicho unachotaka kunambia watoto wakiwa wamelala mmmmh....hapana nimegomaNifunguke hapa hadharani na watoto bado hawajalala? Ushakuwa mkubwa bana....
Weee.. Erickb52 yupo vyema na muda si mrefu tumetoka ku desh desh
Hakuna mshono wala uzi,jamaa yupo vzuri
Hebu twende kwanza PM, acha longolongo na woga wa kitoto....Hicho unachotaka kunambia watoto wakiwa wamelala mmmmh....hapana nimegoma
natamani nione kimoja.Kama mtoto wa kike alivyo...kinabakia kisambusa!!!
Hahahahahahahaha ....Takusemea kwa baba...Hebu twende kwanza PM, acha longolongo na woga wa kitoto....
Always accept yourself as to who you are or where you belong.
Hahahahah...loooh,i'm speechless!!!Afadhali umesema...kumbe ile dawa yetu ya kuyeyusha mshono imefanya kazi eenh!! maana huyo mgonjwa ndiye alikuwa wa majaribio!!
Hahahahahahahaha ....Takusemea kwa baba...