Emergency call kwa wazarendo wa nchi yetu ambao hawajaridhia maazimio ya bunge la CCM.

Escrowseal1

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2014
Posts
4,618
Reaction score
4,605
Pamoja na hawa watu kujimwambafy kwamba wamepitisha hili azimio ovu biggest majority wanaugulia maumivu .ombi langu kwa hawa wafuatao.

1. Naomba experts wa JF waandae petition kukataa haya maazimio ambayo in reality hayareflect maoni ya wananchi.

2. Ombi la pili naomba expert wa jf waandae page ili tutunze record ya wabunge wote wa sasa ili baadae tuwa hold accountable.

3. Nawaomba viongozi wetu wa kisiasa warudi nchini ili tuutafakari huu mkataba pamoja kabla hawa ma sell out hawajafila popote.

Research ya maoni mitandaoni hawa watu wamepandisha joto na watu wengi wako tayari kutoa contribution yoyote kuepuka madhara tunayotegemea kutokea huko mbele.

Nawatakia asubuhi njema
 
Hakikisha unakunywa dawa zako za msongo wa mawazo.

Wewe mwenyewe unaetoa maoni hapa hata mkataba wenyewe tu hujausoma na huujui alafu mnatujazia server tu humu wajinga nyie.
 
Muda wenu mfupi sana, kifuatacho ni kuchapa mboko hata kinyesi chenu pumbafu kabisa
Wajinga mpo wengi sana nchi hii. Na ndo mmechelewesha miradi mingi sana ya maendeleo ya kutupeleka mbele kwa ujinga wenu tu.

Uzuri mmeshashtukiwa
 
Pamoja na hawa watu kujimwambafy kwamba wamepitisha hili azimio ovu biggest majority wanaugulia maumivu .ombi langu kwa hawa wafuatao.

1. Naomba experts wa JF waandae petition kukataa haya maazimio ambayo in reality hayareflect maoni ya wananchi.

2. Ombi la pili naomba expert wa jf waandae page ili tutunze record ya wabunge wote wa sasa ili baadae tuwa hold accountable.

3. Nawaomba viongozi wetu wa kisiasa warudi nchini ili tuutafakari huu mkataba pamoja kabla hawa ma sell out hawajafila popote.

Research ya maoni mitandaoni hawa watu wamepandisha joto na watu wengi wako tayari kutoa contribution yoyote kuepuka madhara tunayotegemea kutokea huko mbele.

Nawatakia asubuhi njema
Erythrocyte Huwa nakupinga kwa mengi!
Ila kwa hili la DP World ninaungana nawe pamoja na watanzania wote wanaoitakia mema nchi hii pamoja na vizazi vyetu endelevu!
#Naungamkonohoja!
 
Hakikisha unakunywa dawa zako za msongo wa mawazo.

Wewe mwenyewe unaetoa maoni hapa hata mkataba wenyewe tu hujausoma na huujui alafu mnatujazia server tu humu wajinga nyie.
Unamjua Lord Denning we kajambanani. Nipe contribution mchango wake hata mmoja kwenye english law kama si kucopy wakati empty head
 
Erythrocyte Huwa nakupinga kwa mengi!
Ila kwa hili la DP World ninaungana nawe pamoja na watanzania wote wanaoitakia mema nchi hii pamoja na vizazi vyetu endelevu!
#Naungamkonohoja!
Kwa hili amini usiamini mkuu nchi nzima iko against hawa watu
 
Back
Top Bottom