Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Wakuu habari.
Nchi nyingi za wenzetu, mfano Marekani tunaona kwenye movie na tukigoogle kwamba wana emergency call 911 ambayo ikitokea issue unapiga hafu wanatuma mtu kutoa msaada kama ni ambulance, polisi au zima moto.
Mfano, 911 ilianzishwa USA mnamo 1968 na hadi sasa ipo na imefikia ukipiga simu response time nyingi ni chini ya dakika 15 msaada ushafika, ni chache zinachelewa hadi nusu saa.
Sasa Tanzania tunayo 112 na 113 lakini mafanikio yake sina uhakika kwasababu sijawahi kupiga, ila kwa ninavyojua lazima itakua changamoto kupokelewa simu acha mbali kutumwa msaada.
Kwa jinsi technology ilivyo advance, kwanini kitengo cha emergency polisi, fire na mahospitali wasifanye collaboration wakawa na centres nyingi za kupokea calls, na kutuma msaada, kwa kuanza wanaweza anza ata na jiji moja mfano Arusha au Dodoma?