Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Ikitokea hivyo na wewe ni mtoa huduma ya kwanza; ya pili au ya mwisho?
Mtu kapungukiwa maji na damu.
Mtu kapungukiwa maji na damu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio ndo utaua mgonjwa?Vyote vinaweza kuongezwa kwa wakati mmoja.
AsanteUnawezaje kujua kuwa mtu huyu kapungukiwa damu na maji kwa wakati mmoja tena inaonesha hali ni mbaya zaidi bila ya kuwa ni mtendaji wa kata ya afya?
Anyway kwa akili yangu namuongezea drip za maji.
Maana damu ina process nyingi mpaka nimuwekee. Naanza na majambazi then damu.
Kivipi?sio ndo utaua mgonjwa?
reactionKivipi?
Sidhani. Wataalamu wanajua kuyataka mambo katika uwiano kuzuia madhara. Ile mkono mmoja unaweza kutumiwa kuingiza damu na mwingine maji mwilini kwa wakati mmoja.reaction
haha sawa mkuuInatokana na kipi kimesababisha upungufu wa damu na maji.
Kama mtu unemkuta ana sign zote za upungufu wa damu na maji , tafuta sababu , kama mtu ameumia damu imetoka sana .. anza kuongeza maji huku ukiwa unatafuta damu , kama damu unayo hapo hapo na ilishapimwa wewe ongeza damu moja kwa moja. Maji yatajiongeza na damu.
Asante mkuuMkuu ahsante kwa swali lako,
Lakini swali lako linalenga afya ya binadamu, kama wewe hujasomea mambo ya afya nna uhakika huwezi kuelewa,
Anyway
Ili mtu aongezewe maji lazima awe amepungukiwa maji, njia inayotumika kubashiri upungufu wa maji mwilini ni historia ya mgonjwa, kama atasema alitapika au kuharisha sana na anaonekana kukosa nguvu, kitu kingine ni ngozi huangaliwa kwa kufinywa kidogo ikitumia muda mrefu kurudi ktk hali yake ya kawaida basi upungufu wa maji unaweza kuhofiwa...