Emergency response team ya Dar es Salaam imekua kulinganisha na zamani

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Ukweli usemwe.

Hakika naiona coordination ya hali ya juu namna Team ya kukabiliana na Majanga Dar es Salaam inavyoweza kupambana na majanga ya kipekee na ya aina tofauti tofauti.

Tuendelee kutambua mapungufu ili wayaboreshe siku hadi siku.

Mungu awape nguvu frontliners wote na wananchi kwa ujumla.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
 
Nimeona a coordinated dispatch of Fire and resque,ambulances,Stake holders in construction industry,red cross ,police,JWTZ ,local politicians and national politicians.

All happened in a proffesional and sequencial manner.

The only bizzare entity was the media ...which reacted haphazardly!
 
Media wanatakiwa kushughulikiwa Ili wakae mstarini
 
Response team ipi? Kama ni kufika eneo la tukio, akina Mwanne pia wamefika mapema tu, na angalau walikuwa wanatoa mavitu...

Wenye sare za kaki na zimamoto, wanaonekana kufika na wao kushangaa shangaa tu, hawana chochote...

Sijaona hata compressor moja just incase, Response team ni zero...
 
upo eneo la tukio?
 
Ukweli usemwe.

Hakika naiona coordination ya hali ya juu namna Team ya kukabiliana na Majanga Dar es Salaam inavyoweza kupambana na majanga ya kipekee na ya aina tofauti tofauti.

Tuendelee kutambua mapungufu ili wayaboreshe siku hadi siku.

Mungu awape nguvu frontliners wote na wananchi kwa ujumla.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Kwa sababu tuu Prof Janabi alienda eneo la tukio akiwa koti jeupe?😡😡😡. Wewe ni bure kabisa.
 
Back
Top Bottom