Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini kimeboreka sasa? Idara husika ya zima moto na uokoaji, hawana vifaa kukatia nondo ngumu, na nguzo za jengo, hawana vifaa vya kuinulia vitu vizito kama craine, hawana buldozer kuondoa vifusi, na hawana malori kubeba vifusi kutoka eneo la tukio.Kufikiri ni Qualitative data!
By the way rudi nyuma mwaka kuanzia 23
Huwezi kuona 100% ya theory ..Nini kimeboreka sasa? Idara husika ya zima moto na uokoaji, hawana vifaa kukatia nondo ngumu, na nguzo za jengo, hawana vifaa vya kuoinulia vitu vizito kama craine, hawana buldozer kuondoa vifusi, na hawana malori kubeba vifisi kutoka eneo la tukio.
Coordination siyo nzuri kabisa, waokoaji ni wananchi waliorundikana eneo la tukio bila sababu za msingi, jeshi la polisi wapo wanaangalia bila kuzuia au kupunguza mlindikano wa watu walijazana na kufanya zoezi kuwa gumu. Hakuna command center, yenye kupokea na kutoa taarifa kwa mpangilio, hakuna mpangilio kwa watoa huduma ya kwanza kwa majeruhi, wakae wapi nani anatoa huduma ya kwanza na nani anafanya assessment ya nani apelekwe hospitali kwa haraka. Ingewezekana kuwe na helipad ya kutua helikopta kuwahisha majeruhi kwa helicopter za polisi.
Incident command center iandae utaratibu nani anakaa wapi nani anafanya nini, huo ndio utaratibu wa shughuli za uokoaji kwenye majanga yoyote yanapotokea.
Sijui miaka gani tutafikia kuna na uwezo huo.
Well, ulitakiwa kusema kama ipi au yupo, sasa ukisema kwa kuwa Milard Ayo hajaripo, mimi na wewe naamini hatuko kwenye eneo la tukio lakini tunaona kupitia youtube video zinazurushwa na watu mbali mbali kutokea kwenye eneo la tukio. Assessment yangu siyo sawa na yako.Huwezi kuona 100% ya theory ..
Una uhakika kwamba command center haipo?Incident commender hayupo?
au ni kwa kuwa millard Ayo hajapost
Wewe baki na observations zako za podcasts na tiktok acha wanaojua wafanye kazi ...kumbuka theory can never be 100 % practical.Well, ulitakiwa kusema kama ipi au yupo, sasa ukisema kwa kuwa Milard Ayo hajaripo, mimi na wewe naamini hatuko kwenye eneo la tukio lakini tunaona kupitia youtube video zinazurushwa na watu mbali mbali kutokea kwenye eneo la tukio. Assessment yangu siyo sawa na yako.
Binafsi nimeona zoezi linaendeshwa kienyeji, yani mlundikano wa watu wanaangalia, badala ya kupisha wahusika wafanye kazi.
Nimeona polisi wamesimama pembeni bila kufukuza watu/watazamaji kwenye eneo la tukio kurahisisha shughuli ya uokoaji, kwa kufungua njia za magari ya wagonjwa yatokayo na kuelekea eneo la tukio.
Sikuona vifaa kama craine,bulldozers na malori kwenye zoezi hilo, hivyo nikatoa mawazo yangu ya nini kilipaswa kufanyika kwa utaratibu.
Sasa kama wewe upo eneo la tukio na ni moja ya watoa huduma tupe taarifa ya uboreshaji, kwa data siyo kusifia bila data.
Jina lako linasadifu haiba yako.Ukweli usemwe.
Hakika naiona coordination ya hali ya juu namna Team ya kukabiliana na Majanga Dar es Salaam inavyoweza kupambana na majanga ya kipekee na ya aina tofauti tofauti.
Tuendelee kutambua mapungufu ili wayaboreshe siku hadi siku.
Mungu awape nguvu frontliners wote na wananchi kwa ujumla.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Hahah uchawa ni tatizo kubwa sana, yani ulidhani observation zako ndiyo nzuri, na muarobaini wa disaster recovery? Nimetoa observation kwa kukukueleza nilichokiona, wewe unasifia bila kutoa facts, unasema kijumla jumla tu kwamba disaster recovery plan imeboreka. Unataka tusifie au unadhani hii ni stant kuijenga ccm?Wewe baki na observations zako za podcasts na tiktok acha wanaojua wafanye kazi ...kumbuka theory can never be 100 % practical.
Hivi unashauri grader na cranes zivunjevunje Na kusawazisha wakati kuna watu wanaongea huko kwenye kifusi,?
Jinga kama Jinga.Ukweli usemwe.
Hakika naiona coordination ya hali ya juu namna Team ya kukabiliana na Majanga Dar es Salaam inavyoweza kupambana na majanga ya kipekee na ya aina tofauti tofauti.
Tuendelee kutambua mapungufu ili wayaboreshe siku hadi siku.
Mungu awape nguvu frontliners wote na wananchi kwa ujumla.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Nilichoona ni Watanganyika wenzetu with bare hands na bila vifaa vya uokozi wakifanya juhudi kuokoa watu na mali zaoUkweli usemwe.
Hakika naiona coordination ya hali ya juu namna Team ya kukabiliana na Majanga Dar es Salaam inavyoweza kupambana na majanga ya kipekee na ya aina tofauti tofauti.
Tuendelee kutambua mapungufu ili wayaboreshe siku hadi siku.
Mungu awape nguvu frontliners wote na wananchi kwa ujumla.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!