Media wanatakiwa kushughulikiwa Ili wakae mstariniNimeona a coordinated dispatch of Fire and resque,ambulances,Stake holders in construction industry,red cross ,police,JWTZ ,local politicians and national politicians.
All happened in a proffesional and sequencial manner.
The only bizzare entity was the media ...which reacted haphazardly!
upo eneo la tukio?Response team ipi? Kama ni kufika eneo la tukio, akina Mwanne pia wamefika mapema tu, na angalau walikuwa wanatoa mavitu...
Wenye sare za kaki na zimamoto, wanaonekana kufika na wao kushangaa shangaa tu, hawana chochote...
Sijaona hata compressor moja just incase, Response team ni zero...
Kwa sababu tuu Prof Janabi alienda eneo la tukio akiwa koti jeupe?π‘π‘π‘. Wewe ni bure kabisa.Ukweli usemwe.
Hakika naiona coordination ya hali ya juu namna Team ya kukabiliana na Majanga Dar es Salaam inavyoweza kupambana na majanga ya kipekee na ya aina tofauti tofauti.
Tuendelee kutambua mapungufu ili wayaboreshe siku hadi siku.
Mungu awape nguvu frontliners wote na wananchi kwa ujumla.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
π€£π€£π€£π€£. ...........hukuona wakipa porojo pale?! Ile ndo kuimarika kwa emergency rescue team?hiyo sio sababu jielimishe usibaki kuwa kilaza
Hahaha statistics zinahitaji data, siyo kufikiri tu. Mkumbuke Ntogwisangu na umpe heshima yake mkuu.Miaka ya nyuma kutokea mwaka huu