GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Kwa mtu ambaye hana passport kubwa, akipata safari ya ghafla kwenda mojawapo ya nchi kama AFRIKA KUSINI, BOTSWANA, NAMIBIA, n.k., anaweza kutumia EMERGENCY TRAVEL DOCUMENT?
Hiyo huwa inapatikana haraka sana, unaweza ukaipata siku iyo hiyo uliyoiomba.
Afrika Kusini itakubali kumpokea Mtanzania anayetumia EMERGENCY TRAVEL DOCUMENT?
Asanteni kwa ufafanuzi🙏
Hiyo huwa inapatikana haraka sana, unaweza ukaipata siku iyo hiyo uliyoiomba.
Afrika Kusini itakubali kumpokea Mtanzania anayetumia EMERGENCY TRAVEL DOCUMENT?
Asanteni kwa ufafanuzi🙏