Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Kumbuka Haji Manara ndio amekusaidia kuifanya yanga iwe na mafanikio haya yanayoonekana leo, wengi wanaweza wasijue lakini amekusaidia sana kujua mengi yanayohusu Simba, Eng Hersi wewe ni msomi na mtu makini sana, unajua sana ku set strategies, I love it, lakini kuondoka kwa Manara pale Simba na nyie kumchukua kiumbe huyu asiye na adabu pia ambaye anapenda kuoa oa hovyo kumewapa nyie faid kubwa, Haji ni asset kuliko liability ndani ya Yanga, amekupa siri nyingi mno za Simba, amekueleza yote ya jikoni ndani ya Simba, hadi leo Haji ana connection kubwa kule, yanayojiri kule anakupa wewe kwa sababu ww ni mshkaji wake mkubwa.
Leo unaingia mkenge kwenye media unamkosea heshima Haji kuwa sio msemaji wakat yeye mwenyewe alishasema ni msemaji ni kumfedhehesha, Haji amefedheheka sana.
Sisi some tunajua Haji ni Simba mwenzetu lakini ameuza silaha zote kwako, leo unaisumbua Simba kwa sababu Haji ana mchango mkubwa kwenu, kwa sababu hapa bongo Yanga akiifunga Simba t basi hata ukiiba hawakuulizi, leo yanga inadaiwa kwa usajili wa Okrah lakink husikii wakipiga kelele kama ilivyokuwa wakati wa akina Lloyd Nchunga, marehemu Madega, Mshindo Msolla nk, wao wana wachezaji wazuri inatosha, ya kuuza jezi cjui nn wao habari hiyo hana.
Hata ukiwaambia kuwa yanga ina madeni makubwa wao wanakuona fala t.
Ukiwaambia Hersi anadanganya anapodai yanga halipwi hata sailing wanasema kweli, hiv kweli kuna mtu anayeweza kufanya biashara ya ubuyu, nani asiyejua mipango yako yote inapitia pale GMS.
Mheshimu Haji Manara bro, we ungewajibu t hao akina edo kuwa suala hilo utalitolea ufafanuzi, sasa Haji utampa kazi gani?
Ana elimu gani ya kumpa kazi inayoeleeweka?
Huyo kazi yake kubwa ni kuongea shombo t, kumpa kazi ya sijui ya kusajili wanachama ni kazi ndogo sana na haina mashiko yoyote, hiyo kazi ungempangia huyo Ally akadili na wanachama na Haji angebakia kusema hovyo ili akiropoka tena ale kifungo cha maisha kabisa.
Simpendi Haji, ameniblock Instagram mwaka sasa baada ya kumpiga spana za kutosha lakini kama binadamu mwenzangu ulichomdanyia CEO huyu wa Manara TV sijapenda.
Ona sasa leo ameongea kinyonge kabisa, eti hata akiwa mfagizi mkuu hana shida, leo ameshindwa kabisa kuongea kama mwanaume, alipokuwa Simba alimtukana sana Mo Dewji.