Emg.Hersi umemkosea sana heshima na adabu Haji Manara

Kwahiyo manara anaona sawa kuuza siri za Simba?

Atawasaliti na Yanga pia.

Msaliti ni msaliti tu.
 
Hebu tuache unafiki jamani, mafanikio ya Yanga hayakuletwa kwa nguvu na uwezo mtu mmoja. Yanga iko pale kutokana na kuunda kikosi kizuri.

Sasa badala ya kumsifia Nabi na timu ya usajili uje kumsifia Msemaji wa timu? Na hata kama timu ikifanya vizuri sokoni labda tutamsifia CEO.

Kama maneno yanasaidia timu kuwa na kikosi bora, mbona Ruvu haina kikosi bora?

Ova
 
B… msamehe Manara sasa, kakukosea nini humpumzishi? Nimecheka sana.

Ila hii hoja umeijenga kama mimi, mwandiko wangu kabisa huu.
 
Namuunga mkono rais wa Yanga kuhusu Haji Manara. Ikiwezekana aombe msamaha na kurejea kwenye timu yake pendwa ya Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…