Emigani y’Ekihaya (Misemo ya kabila la wahaya)

Emigani y’Ekihaya (Misemo ya kabila la wahaya)

Jamani mnatutenga humu jamvini tusiojua lugha hiyo........
Mjasiriamali umemaanisha nini hapo juu kwenye "Ekyawe kyawe kijunda nokala!" ???

Chako ni chako tu hukubali kukiachia hata kikiwa kinaoza unajitahidi kukibanika kwenye moto ili kili-cover!
 
Back
Top Bottom