Emigani y’Ekihaya (Misemo ya kabila la wahaya)

Emigani y’Ekihaya (Misemo ya kabila la wahaya)

Nyie Wahaya,
Mie ni Mnyamwezi. Ila nikiwa JKT, nilikuwa na rafiki yangu mmoja akiitwa Kemibala. Siku moja walimvamia mzee mmoja Mvinza na kuanza kumlia karanga zake huku wakicheka saana. Yule mzee mwisho akachukia ila unaona kabisa alikuwa hawezi kuwafanya kitu basi nikasikia akapia kelele ....

" Ahhh, K**i Mp**i Y**e...." Jamaa hadi walianza kugaragara kwa kicheko. Niliwauliza maana ya hili neno na kila mhaya ninayemfahamu huwa anakataa kusema. Hebu nidondosheeni maana yake kwenye PM maana kwa vyovyote vile, ni tusi moja zoto.....
 
Asanteni, nimeshapata jibu. Asante Mkuu kwa PM.

Na hili neno la "Ukijigamba mbere ya wagambirwa, utagambirwa..?" nao ni msemo au methali? Ok, ngoja niwaacheni wenyewe wajukuu wa Nyungu ya mawe.
 
Alaoza omwongo, aba aina eisoma.

Kabikutabula, obishobeza.

Kakiweyo, akachumita omukila.

Mbatela abana kubyama, oti ebyembwa biliya?

Nobona mbachula, oti omulwaile wa munu alailemu atai?
 
akana ka matigi kalya bike
O'kuzala ti kun'ya.....Mazangu anaupenda kinoma
 
Back
Top Bottom