Nyie Wahaya,
Mie ni Mnyamwezi. Ila nikiwa JKT, nilikuwa na rafiki yangu mmoja akiitwa Kemibala. Siku moja walimvamia mzee mmoja Mvinza na kuanza kumlia karanga zake huku wakicheka saana. Yule mzee mwisho akachukia ila unaona kabisa alikuwa hawezi kuwafanya kitu basi nikasikia akapia kelele ....
" Ahhh, K**i Mp**i Y**e...." Jamaa hadi walianza kugaragara kwa kicheko. Niliwauliza maana ya hili neno na kila mhaya ninayemfahamu huwa anakataa kusema. Hebu nidondosheeni maana yake kwenye PM maana kwa vyovyote vile, ni tusi moja zoto.....