Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii Siredi imenipatia kimwana mitaa ya Mawasiliano Towers
Vipi ulimpa hii misemo akaingia mkenge au? Dadafua basi.
Nilikua namtumia then anajaribu kutafsiri,then nikajitia naipenda lugha hii, na kuipa sifa za utukufu mahususi, (Si unajua wanapenda ujiko watu wa jamii hii) kisha nikaendelea kuchombeza mtoto akatulia tuliiii........
kwa mbinu hiyo Papuchi ukapewa!!!
Hii Siredi imenipatia kimwana mitaa ya Mawasiliano Towers
Omwami Crispin, oliyo waitu!
Ne nyungu tetogosa mwomela!
kumwambia mtu unampenda kwa kihaya wanasemaje?