No, tutajie hao walevi unaowafahamu wewe.Tulia acha kureply comment 1 mara mbilimbili
Andrew, John, madaraka, Makongoro wote waleviNo, tutajie hao walevi unaowafahamu wewe.
Andrew na Madaraka nawafahamu, hawatumii kilevi kabisa.Andrew, John, madaraka, Makongoro wote walevi
Kwani uongozi ni intellect?, kuna mtu alikuwa na GPA ya 2.1!, na akawa rais mzuri tuu!, kuna mtu aliishia O-level tuu kwa Div ya vijana!, na akawa mzuri!, uongozi ni kipaji na sio intellect!, kuna mtu alizungusha!, akauzunguka mzungusho kwa kubadili jina, akatusua hadi chuo kikuu na akapasua!, ni kiongozi mzuri!. Msukuma na Kibajaji ni daasa saba tuu lakini angalia michango yao!. Kuna watu ni average IQ wana perform vizuri kuliko high IQ!What's your point! Hakuna mtoto wa mwalimu wa kufikia viwango vya intellect ya kina Samia!
I know you're not serious
Usimfanye akawaota wajumbe, siyo watu wazuri walimchinjia cocobeachPascal haugombei tena kawe?
Huko Kawe Gwajima atashinda kura za maoni lakini watamhujumu kwa kulikata jina lakeKawe naunga mkono tumpe Magige kwa kumuenzi tuu Mwalimu!, lakini ni kweli kwenye miti hakuna wajenzi, Mwalimu hana mtoto hata mmoja wa kuvaa viatu vyake, na ukimuondoa msanii Brother Mako, hakuna mtoto mweingine yoyote wa Mwalimu ni mwanasiasa!.
P
Huyu ndiye 'Poppy' mwenyewe?Emil Magige,mtoto wa tatu wa Mwalimu Nyerere amechukua na kurudisha fomu ya ubunge jana.
Magige ameniambia anataka kuwa mbunge wa Kawe.
Hili ndilo Jimbo la Gwajima.
Unamuuliza swali gumu mtu wa aina ya huyo utategemea jibu gani toka kwake?What's your point! Hakuna mtoto wa mwalimu wa kufikia viwango vya intellect ya kina Samia!
I know you're not serious
Mwizi/jambazi hawezi kuwa 'definitive', 'Nature' ya kazi yake haimruhusu kuwa 'definitive', jambo ambalo litawa'alert' anaowafanyia ujambazi.Kwamba Uchaguzi itakuwa hivi na hivi,na hawa Chadema labda watashiriki au labda hawatashiriki.
Hana hamu na wajumbe.Pascal haugombei tena kawe?
Dah, jameni; huyu atakuwa ni binaadam wa aina gani huyu hata wale wanaowaita waTanzania "KENGE" wawe na "uwezo" wa kumzidi huyu?Kama ana uwezo achaguliwe
Umeulizwa swali, jibu swali.Tulia acha kureply comment 1 mara mbilimbili
Umepenya kivyako kwa kukazia hilo neno 'intelect', ambayo haikuwa hoja ya bandiko lako la mwanzo.Kwani uongozi ni intellect?, kuna mtu alikuwa na GPA ya 2.1!, na akawa rais mzuri tuu!, kuna mtu aliishia O-level tuu kwa Div ya vijana!, na akawa mzuri!, uongozi ni kipaji na sio intellect!, kuna mtu alizungusha!, akauzunguka mzungusho kwa kubadili jina, akatusua hadi chuo kikuu na akapasua!, ni kiongozi mzuri!. Msukuma na Kibajaji ni daasa saba tuu lakini angalia michango yao!. Kuna watu ni average IQ wana perform vizuri kuliko high IQ!
P
Ubunge umekua simple sana mpaka wajinga wanautaka..Kama nchi inatakiwa tujitafakari ,only in Tanzania akili ndogo inaopt kuongoza akili kubwa...hii yakuja kusoma na kuandika tu kwa ubunge iko nje ya muda tulipo lkn wako kimya !hakuna hata Research ???Umepenya kivyako kwa kukazia hilo neno 'intelect', ambayo haikuwa hoja ya bandiko lako la mwanzo.
Pamoja na hayo, unapowataja hao akina Msukuma, Kabajaji, na huyo aliyebadili jina" kuwa 'performers' wazuri, hiyo ni kwa vigezo vyako, ambavyo siyo 'universal'.
Ukiniuliza mimi nitakwambia hao ni sehemu kubwa ya matatizo ya nchi yetu kupotea njia. Watu wasiostahili kabisa kuwa karibu na taasisi kama hiyo.
Wivu tuKawe naunga mkono tumpe Magige kwa kumuenzi tuu Mwalimu!, lakini ni kweli kwenye miti hakuna wajenzi, Mwalimu hana mtoto hata mmoja wa kuvaa viatu vyake, na ukimuondoa msanii Brother Mako, hakuna mtoto mweingine yoyote wa Mwalimu ni mwanasiasa!.
P