Hatutafuti 'viatu vya Mwalimu', tunatafuta mwakilishi wa Jimbo la Kawe.Kawe naunga mkono tumpe Magige kwa kumuenzi tuu Mwalimu!, lakini ni kweli kwenye miti hakuna wajenzi, Mwalimu hana mtoto hata mmoja wa kuvaa viatu vyake, na ukimuondoa msanii Brother Mako, hakuna mtoto mweingine yoyote wa Mwalimu ni mwanasiasa!.
P
AmeshajibiwaUmeulizwa swali, jibu swali.
Naunga mkono hoja π― %Kawe naunga mkono tumpe tuu Magige kwa kumuenzi tuu Baba yake Mwalimu Nyerere!, kama Amani alivyopewa kumuenzi Abedi, Dr. Hussein kumuenzi, Ali Hassan, Riz1 kmuenzi Jakaya, lakini ni kweli kwenye miti mara nyingi huwa hakuna wajenzi!, Mwalimu hana mtoto hata mmoja wa kuvaa viatu vyake, vikamfiti na ukimuondoa msanii Brother Mako, hakuna mtoto mweingine yoyote wa Mwalimu ni mwanasiasa!, hata hao watoto wa wanasiasa, wengi sio wanasiasa bali wanabebwa na majina ya ubini!.
P
Emil Magige hoyeeee !Huko Kawe Gwajima atashinda kura za maoni lakini watamhujumu kwa kulikata jina lake