Eminem aka 'slim' akiri kuwa shoga kwenye 'The interview'

mtoa mada auko serious iyo ni muvi ww. ..na Eminem kaigiza scene iyo tu na uyo interviewer ni comedian actor anaitwa James Franco yani kwa kifupi iyo ni commedic movie na sio real
 
Asante sana Mkuu Da Eminem !!!
 
Acha masihara wewe, Emined angejitangaza shoga habari nisingezisoma hapa, nafikiri hiyo habari wiki hii ingegonga media kuliko hata picha za Papa Noel.
 
Kwa Wenzetu mtu akisema shoga inabidi uende deep zaidi kujua maana kwao anayetoa na anayepokea wote manzanyanga.
 
Ni kwenye hyo movie ya comedy ya "the interview" its a joke
 
mtoa mada auko serious iyo ni muvi ww. ..na Eminem kaigiza scene iyo tu na uyo interviewer ni comedian actor anaitwa James Franco yani kwa kifupi iyo ni commedic movie na sio real
uwiii afadhali
 
weeee! eminem ndio msanii anaengoza kwa kuwachukia mashoga hapa duniani
 
Ni joke? Really?
He said he's been playing gay peek-a-boo with us all the time..na amekuwa akiacha trail of breadcrumbs...hahahaa
And then the gay lines in some of his songs that they quoted...
Huyu jamaa haeleweki....mi nashuku kwenye 50/50
 
Alikiri hilo na akasema anawachukia kwa sababu yeye ni mmoja wao.....angalia hiyo interview hapo kwenye link mkuu!
 
jesus ni comedy movie inaitwa the Interview,ambayo imeleta mgogoro kati ya USA na N KOREA..jaaaamani
 
Ni joke? Really?
He said he's been playing gay peek-a-boo with us all the time..na amekuwa akiacha trail of breadcrumbs...hahahaa
And then the gay lines in some of his songs that they quoted...
Huyu jamaa haeleweki....mi nashuku kwenye 50/50

Wabongo's sense of humor is hopeless! If you don't get it, you just don't get it.
 
Back
Top Bottom