Eminem ndiye rapper bora kuwahi kutokea, kikwazo ni rangi

Mkuu, hapo kwenye changes, 2 pac alikuwa na upper hand kwasababu yeye mwenyewe kaimba kama muhusika mlengwa wa kunyanyaswa kwa watu weusi marekani.

Sidhani hat kama eminem angeimba hio changes angeteka hisia za mashabiki kama ambavyo anaimba mtu mweusi.

Kwa kuwa hip hop imetulenga sana watu weusi, ngoma za siasa nyingi za hip hop huwa zinalenga harakati za kumkomboa mtu mweusi na huwa inakua na uhalisia zaidi pale anapoimba mtu mweusi na hapa ndipo eminem hafui dafu

Eminem akikaza kwenye kuimba siasa kumtetea mtu mweusi itakuwa ni sawa na miaka ya 1961 tunavyopambania uhuru kungekwepo na muingereza anaeimba kushinikiza nchi yetu ipate uhuru, hata angeimba vipi, Watazania tungezipa kipaumbele nyimbo za watanzania hata kama ni za kawaida.


Pia Eminem ana limit zake nae kwa ngozi yake, 2 pac na wenzake wanaweza kutumia neno la nigger lakini rangi ya eminem inam limit, ataonekana kawatukana watu weusi, mfano kwenye changes kuna mstari wa "Police Pull the trigger, kill a nigga, he's a hero", Na ikumbukwe hilo neno la nigga linatia msisitizo san kuliko black man, black people, n.k

Kwa hio kuna sehemu kama siasa sidhani ni vyema kumuweka eminem humu,
 
Japo eminem si mweusi ila yeye pia amestruggle, ameishi hayo maisha ya Ki gheto. Kuna variety nyingi sana za hip hop humo.

Simpangii cha kuimba ila na state tu reality ilivyo.
 
Japo eminem si mweusi ila yeye pia amestruggle, ameishi hayo maisha ya Ki gheto. Kuna variety nyingi sana za hip hop humo.

Simpangii cha kuimba ila na state tu reality ilivyo.
Kwenye siasa za mtu mweusi wa marekani, Issue ambayo ipo juu zaidi ni ubaguzi wa rangi, haki za mtu mweusi, n.k.

Hata chama cha democrats wana kura nyingi za watu weusi kwasababu wana manipulate sana ajenda za ubaguzi ili kufit their own objective ya kupata kura za watu weusi, kunaweza kuwa na debate upande wa republicans wakamweka mtu msomi kama Candace Owens ila upande wa democrats wakamweka msanii wa hip hop ambae hata hana elimu, Candace ataongea mambo ya uchumi, Elimu, Biashara, Familia, n.k ili kumkomboa mtu mweusi ila sasa upande wa pili huko unakuta kila kitu wanachomekea ubaguzi, wanataka walipwe pesa ya babu zao waliolimishwa mashambani, wamestick kwenye blm badala ya kusonga mbele, waataka maendeleo kwa mbinu za kipuuzi za "AFIIRMATIVE ACTION", n.k and guess what?? Democrats wanashinda?? Ukitaka kumu influence mtu mweusi marekani ongelea sana ubaguzi, Haya mambo ya uchumi, elimu, n.k wachache watakuelewa.

Ukiimba vitu nje ya hapo vinakuwa sio ajenda kubwa sana kwa mtu mweusi.

Eminem anaweza kuimba kuhusu uchumi, mishahara, n.k ila bado haya mambo hayafatiliwi sana na watu weusi
 
Rakim hatari sana yule mkulungwa watu sijui wanatumia vigezo kumtundika slim shady hayo mavyeo
 
Hizo ni Ngoma zangu....
Mimi sio kwamba ndio nyimbo zilizopo.
Na sioni huu mjadala ukifika mwisho, sababu unahusisha mziki ambao ni mapenzi binafsi zaidi ( labda kama kungekuwa na vitu specific tunaangalia).
Vikipatikana vigezo ntaviweka..
 
Labda umshindanishe Eminem na baba levo ndioutaeleweka
 
Nikki anabaki overall sababu anakuoffer vitu vingi sanaa kupitia mziki.
 
sijamwelewa huyo anaesema Eminem anatumia auto tune, yani auto tune Kama T Pain ama alimaanisha Nini?
 

Mkuu Drake naye anakimbiza kwenye namba
 
My favorite rapper of all times...

Marshal Mothers... Eminem...
 
Mkuu kwani haikutosha kumuelezea Eminem na sifa zake zote hadi uwahusishe na kuwaponda Tupac na Biggie?

Huoni kama umeleta ligi ambayo mwisho wa siku mshindi ameshajulikana ni nani.
 
Hii ni kwenu mliomfahamu baada ya kifo chake, kwa tuliokuwa kunafuatilia rap tokea zile old school za kina Big Daddy Cane, Run DMC, KRS One, Kool Moe Die mpaka wakaja kina LL Cool J(akiwa youngster) hadi kufika generation ya akina Easy E, Dr Dre, Ice T tumemfuatilia Pac tokea anaanza na tuliujua ukubwa wake na kwetu kifo chake kilivuma sana kwakuwa he was the hottest rapper japo lyrics zake za kiharakati ilikuwa ikifanyika jitihada kubwa sana kumshusha(by the 'controllers' of the entertainment industry).
Bila ya politics nyingi za industry Puc angekuwa anahesabika kama 'the undisputed' of all time.
 
Unayemdanganya nani?
 
100%.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…