Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
kwani ilikuwaje?Adebayor will have work permit hearing in manchester tommorow ahead of proposed move to manchester city.
hii ni habari njema sana kwa washabiki wenzangu wa arsenal.tukiweza kuutua huu mzigo kusema kweli tuangalie mafanikio makubwa sana msimu ukianza.
kivipi? ninachosema jamaa alikuwa anatu lostisha sana kwa kukosa magoli ya wazi.man city wakimnunua nina huakika striker atakaye kuja ( marouane chamakh) akisaidiana na wengine watatuletea mafanikio makubwa.jamaa laikuwa mzembe sana na kashindwa kutumia nafasi aliyopewa na arsenal.kwani ilikuwaje?
kivipi? ninachosema jamaa alikuwa anatu lostisha sana kwa kukosa magoli ya wazi.man city wakimnunua nina huakika striker atakaye kuja ( marouane chamakh) akisaidiana na wengine watatuletea mafanikio makubwa.jamaa laikuwa mzembe sana na kashindwa kutumia nafasi aliyopewa na arsenal.
Adebayor aondoke tuu mkubwa, hata Ray Parlour kasema Ade ni mvivu na miongoni mwa vitu vya msingi alivyofanya Wenger ni kumuuza huyu jamaa. kwa hiyo pesa anaweza kununua 1 striker and kiungo mmoja mzoefu.wewe mpira hujui kumbe,UNABAHATISHA TU!anyways i cannot even argue with you,ambae hujui thamani halisi ya adebayor.ambae hujui kwamba adebayor ndie mrithi pekee wa skills na abilities za drogba
Assume Wenger anasubiri hadi January then thamani yake inapungua?ade sio striker jamani kama ambavyo wenger anataka amchezeshe so amejitahidi sana,ade ni kiungo nyuma ya striker kwamba anaweza toa final pass or shoot pia na pia ana holding skills superb kama utakuwa na quick strikers kama etoo so to me ade anaitaji support upfront ni mchezaji mwenye mambo hadimu sio vizuri kumuuza now wakati huu wa inflated market,ade is quick,tall,ana skills na ana uzoefu wa big matches so wenger should delay mpaka january ivi tuone ligi ikoje na replacement yake iko vipi...
wewe mpira hujui kumbe,UNABAHATISHA TU!anyways i cannot even argue with you,ambae hujui thamani halisi ya adebayor.ambae hujui kwamba adebayor ndie mrithi pekee wa skills na abilities za drogba
na pasi zake uwa siku zote zinazaa magoli, na kuna kipindi kila goli lake lilikuwa linaipa ushindi Arsenal pale ilipokuwa imelewa.
Kaa chini na anza kutafakari mechi mija moja. Pasi hizo amekuwa akimpa nani afunge? Ni magoli mangapi amekuwa akikosa ya dhahiri yeye na kipa? urefua wake hauwezi chukiwa manake ni advantage katika mpira. Kufunga goli 62 ni wajibu wake manake amekuwa akitumiwa kama striker.
Adebayor nenda! kwaheri.
Adebayor tunakupenda ila MAN C wamekupemda zaidi.