Emmanuel Adebayor's Transfer hic-cups!

Emmanuel Adebayor's Transfer hic-cups!

Oxlade-Chamberlain

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
8,635
Reaction score
2,205
Adebayor will have work permit hearing in manchester tommorow ahead of proposed move to manchester city.
hii ni habari njema sana kwa washabiki wenzangu wa arsenal.tukiweza kuutua huu mzigo kusema kweli tuangalie mafanikio makubwa sana msimu ukianza.
 
Last edited:

kwani ilikuwaje?
 
kwani ilikuwaje?
kivipi? ninachosema jamaa alikuwa anatu lostisha sana kwa kukosa magoli ya wazi.man city wakimnunua nina huakika striker atakaye kuja ( marouane chamakh) akisaidiana na wengine watatuletea mafanikio makubwa.jamaa laikuwa mzembe sana na kashindwa kutumia nafasi aliyopewa na arsenal.
 
wewe mpira hujui kumbe,UNABAHATISHA TU!anyways i cannot even argue with you,ambae hujui thamani halisi ya adebayor.ambae hujui kwamba adebayor ndie mrithi pekee wa skills na abilities za drogba
 
mimi nataka asiondoke, kwani wenger anataka kukiweka kikosi hichi kwa ajili ya msimu ujao. ninauhakika adebayor ni striker mzure tu kama wengine. Please adebayor don't go, we need you to stay.
 
wewe mpira hujui kumbe,UNABAHATISHA TU!anyways i cannot even argue with you,ambae hujui thamani halisi ya adebayor.ambae hujui kwamba adebayor ndie mrithi pekee wa skills na abilities za drogba
Adebayor aondoke tuu mkubwa, hata Ray Parlour kasema Ade ni mvivu na miongoni mwa vitu vya msingi alivyofanya Wenger ni kumuuza huyu jamaa. kwa hiyo pesa anaweza kununua 1 striker and kiungo mmoja mzoefu.
 
ade sio striker jamani kama ambavyo wenger anataka amchezeshe so amejitahidi sana,ade ni kiungo nyuma ya striker kwamba anaweza toa final pass or shoot pia na pia ana holding skills superb kama utakuwa na quick strikers kama etoo so to me ade anaitaji support upfront ni mchezaji mwenye mambo hadimu sio vizuri kumuuza now wakati huu wa inflated market,ade is quick,tall,ana skills na ana uzoefu wa big matches so wenger should delay mpaka january ivi tuone ligi ikoje na replacement yake iko vipi...
 
Assume Wenger anasubiri hadi January then thamani yake inapungua?
 
Kwa wale wanashangilia Debayo kuondoka hawajui mpira angalia katika 142 magoli iliyo funga Arsenal mefunga magoli 62 karibu nusu na bila kuangalia kuumia kwake ambapo angefunga magoli zaidi. Ana skill ya aina yake anaposhika mpira na pasi zake uwa siku zote zinazaa magoli, na kuna kipindi kila goli lake lilikuwa linaipa ushindi Arsenal pale ilipokuwa imelewa. Labda unamchukia urefu wake kama vile anaonekana hayuko strong lakini kwa taarifa anaposhika mpira na kukimbia hakuna mtu atamkamata kumzuia. Kweli yeye ni kiungo na ndiyo maana akirudi nyuma kama kiungo pasi zake uwa ni za magoli. Kwa wale wanaojua mpira wataniunga mkono kuliko ushabi tu
 
wewe mpira hujui kumbe,UNABAHATISHA TU!anyways i cannot even argue with you,ambae hujui thamani halisi ya adebayor.ambae hujui kwamba adebayor ndie mrithi pekee wa skills na abilities za drogba

Wewe ndio hujui mpira. Adebayo kuja kumfikia Drogda ni ndoto. Ulitaka tusubiri mpaka lini kuimarika kwake? Mfungaji gani mpaka akose bao tano ndio angalau afunge moja. Akiumia na akiwepo hakuna mabadiliko katika perfomance ya timu.

Kwa heri adebayor!
 
na pasi zake uwa siku zote zinazaa magoli, na kuna kipindi kila goli lake lilikuwa linaipa ushindi Arsenal pale ilipokuwa imelewa.

Kaa chini na anza kutafakari mechi mija moja. Pasi hizo amekuwa akimpa nani afunge? Ni magoli mangapi amekuwa akikosa ya dhahiri yeye na kipa? urefua wake hauwezi chukiwa manake ni advantage katika mpira. Kufunga goli 62 ni wajibu wake manake amekuwa akitumiwa kama striker.

Adebayor nenda! kwaheri.

Adebayor tunakupenda ila MAN C wamekupemda zaidi.
 
Uwezo wa Ade upo juu, hapo ni suala la mwalimu tu kuamua kumuuza, hii huenda imechangiwa na kusajiliwa kwa Asharvin ambaye ni typical striker na uwepo wa Van P. Tusilete ushabiki wa Simba na Yanga, mchezaji anapohama/kuuzwa ndipo anapoonekana hafai. Ade class is unquestionable, you can only question his form last season.
 
thamani sio issue sana sisi tulimnunua 7m na ata iweje hawezi shuka chini ya 20m by jan, our priority ni kupata replacement bora na si faida tu halafu kuwe na pengo pale,we need a proven striker and not a kid or potential anymore na sasa ivi kila mchezaji wa hadhi yake ni 30m plus and we cant afford so we better keep the team as it is than kuuza bila kuwa na uhakika wa ku replace mind you this team ime score mre than 80 goals combined na tuna about only 4 goals diffrenece na Man u so we are not that bad as other people will like us to think,my suggestion is keep the team intact mpk jan..
 
Kwanza niseme wazi kuwa mimi ni shabiki nguli wa Arsenal
Sidhani kama Adebayor ni mchezaji mbovu sana kama watu wengi wanavyoweza kuonalakini pia sidhani kama ni mchezaji mzuri sana kama watu wachache wanavyoweza kuona. Kwa mimi kama mshabiki wa Arsenal niseme wazi kuwa Adebayor alikuwa anabore sana uwanjani maanake alikuwa anakosa magoli ya wazi sana halafu kilichokuwa kinabore zaidi ni kila mechi aliyocheza alikuwa lazima akose magoli sio chini ya matatu. Mimi binafsi nafurhi amebadilisha mazingira anaweza kwenda kufanya vizuri uko zaidi ya hapo Emirates. Na mimi binafsi namtakia kila la heri kwanza nikijua kuwa ni Mwafrika mwenzangu kwahiyo lazima tumpe moyo, ile ni kazi kuama ni sehemu ya maisha ya kazi.
 
Man City itakuwa kati ya timu bora 4 katika msimu ujao.Ade atakuwa ni mmoja wa wafungaji bora wa magoli na hasa baada ya kufanya mazoezi na kupewa skills mpya hapo Eastlands.

Mengine ni maneno ya ushabiki tu,Ade ni mmoja kati ya wachezaji wazuri hivyo Man city wameshang'amua jinsi ya kumchezesha..
 
Jamani hilo ni zigo la kuni mbichi,yaani Haliwaki. Auzwe tuuuuuuuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom