Dah, Wanawake wa kizungu wanatia stress haoo, yaani usije kufanya kosa kufika Ulaya alaf ukazaa na MZUNGU, mara chache sana mambo yanaenda poa ila siku akikugeukia UTAJUTA, kwanza wanalindwa na sheria, ukiwa foreigner ndio kabisaaa, nimeshuhudia kesi nyingi sana za hawa wanandoa baba muafrica mama mzungu ambazo jamaa wanajuta, wako mitaani kama machizi kwa kuwa na stress, mara nyingi wanataka uzae nao tu yaani wapate mbegu thn kila mtu kimpango wake, ni bora uoe kwenu alaf umfanyie safari ya huko, pia hao unaoowa kwenu wengi tu wanabadilika baadae kutokana na sheria za huku, ww muhim ukiowa kwenu akifika ulaya mpige watoto watatu faster kabla hajaona mji vizuri pengine itakusaidia, na pia ukimuacha kwenu kama uko ulaya bas mabaharia watamvuruga sanaaa,
SJAWAHI KUWASOMA WANAWAKE
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ujumla huko mambele wanawake wanalindwa sana, le mutuz alimvuta mbongo mwenzie tena alimtoa dar hadi US ila kilichomkuta hakuamini ikabidi akimbie kutoka marekani hadi tz huku kavaa kaptula na makobaz tuDah, Wanawake wa kizungu wanatia stress haoo, yaani usije kufanya kosa kufika Ulaya alaf ukazaa na MZUNGU, mara chache sana mambo yanaenda poa ila siku akikugeukia UTAJUTA, kwanza wanalindwa na sheria, ukiwa foreigner ndio kabisaaa, nimeshuhudia kesi nyingi sana za hawa wanandoa baba muafrica mama mzungu ambazo jamaa wanajuta, wako mitaani kama machizi kwa kuwa na stress, mara nyingi wanataka uzae nao tu yaani wapate mbegu thn kila mtu kimpango wake, ni bora uoe kwenu alaf umfanyie safari ya huko, pia hao unaoowa kwenu wengi tu wanabadilika baadae kutokana na sheria za huku, ww muhim ukiowa kwenu akifika ulaya mpige watoto watatu faster kabla hajaona mji vizuri pengine itakusaidia, na pia ukimuacha kwenu kama uko ulaya bas mabaharia watamvuruga sanaaa,
SJAWAHI KUWASOMA WANAWAKE
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahaKwa ujumla huko mambele wanawake wanalindwa sana, le mutuz alimvuta mbongo mwenzie tena alimtoa dar hadi US ila kilichomkuta hakuamini ikabidi akimbie kutoka marekani hadi tz huku kavaa kaptula na makobaz tu
Kwa ujumla huko mambele wanawake wanalindwa sana, le mutuz alimvuta mbongo mwenzie tena alimtoa dar hadi US ila kilichomkuta hakuamini ikabidi akimbie kutoka marekani hadi tz huku kavaa kaptula na makobaz tu
Hahaha...makobazi ni nini mkuu?Kwa ujumla huko mambele wanawake wanalindwa sana, le mutuz alimvuta mbongo mwenzie tena alimtoa dar hadi US ila kilichomkuta hakuamini ikabidi akimbie kutoka marekani hadi tz huku kavaa kaptula na makobaz tu
Kama upo jirani na msikiti wowote ukisikia adhana sogea karibu na msikiti halafu angalia viatu walivyopiga maustadh wale waliovaa kanzu, sasa zile sendo za maustadhi ndio makobazHahaha...makobazi ni nini mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23]Kama upo jirani na msikiti wowote ukisikia adhana sogea karibu na msikiti halafu angalia viatu walivyopiga maustadh wale waliovaa kanzu, sasa zile sendo za maustadhi ndio makobaz
Obama tuu ndiyo aliwanyoosha. Baba yakeDah, Wanawake wa kizungu wanatia stress haoo, yaani usije kufanya kosa kufika Ulaya alaf ukazaa na MZUNGU, mara chache sana mambo yanaenda poa ila siku akikugeukia UTAJUTA, kwanza wanalindwa na sheria, ukiwa foreigner ndio kabisaaa, nimeshuhudia kesi nyingi sana za hawa wanandoa baba muafrica mama mzungu ambazo jamaa wanajuta, wako mitaani kama machizi kwa kuwa na stress, mara nyingi wanataka uzae nao tu yaani wapate mbegu thn kila mtu kimpango wake, ni bora uoe kwenu alaf umfanyie safari ya huko, pia hao unaoowa kwenu wengi tu wanabadilika baadae kutokana na sheria za huku, ww muhim ukiowa kwenu akifika ulaya mpige watoto watatu faster kabla hajaona mji vizuri pengine itakusaidia, na pia ukimuacha kwenu kama uko ulaya bas mabaharia watamvuruga sanaaa,
SJAWAHI KUWASOMA WANAWAKE
Sent using Jamii Forums mobile app
NI kweli mkuu ila ngoja tujiburushe tu haba barazani.