Emmanuel Eboue hali mbaya, Mke amfilisi

Emmanuel Eboue hali mbaya, Mke amfilisi

Dah, Wanawake wa kizungu wanatia stress haoo, yaani usije kufanya kosa kufika Ulaya alaf ukazaa na MZUNGU, mara chache sana mambo yanaenda poa ila siku akikugeukia UTAJUTA, kwanza wanalindwa na sheria, ukiwa foreigner ndio kabisaaa, nimeshuhudia kesi nyingi sana za hawa wanandoa baba muafrica mama mzungu ambazo jamaa wanajuta, wako mitaani kama machizi kwa kuwa na stress, mara nyingi wanataka uzae nao tu yaani wapate mbegu thn kila mtu kimpango wake, ni bora uoe kwenu alaf umfanyie safari ya huko, pia hao unaoowa kwenu wengi tu wanabadilika baadae kutokana na sheria za huku, ww muhim ukiowa kwenu akifika ulaya mpige watoto watatu faster kabla hajaona mji vizuri pengine itakusaidia, na pia ukimuacha kwenu kama uko ulaya bas mabaharia watamvuruga sanaaa,

SJAWAHI KUWASOMA WANAWAKE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa alikumbwa na msongo wa mawazo hadi ikapelekea kutaka kujitoa uhai...club yake ya zamani ya galatasary ndo ikaamua kumsaidia kumpa hifadhi ya nyumba na kazi kama kocha msaidizi kwenye academy yao ili aweze kumudu hali ngumu ya maisha aliokua anapitia wakati huo....ila sa hivi nahisi atakua kidogo ameanza kua vizuri kumaisha
 
Na hutokuja kuwasoma kamwe
Dah, Wanawake wa kizungu wanatia stress haoo, yaani usije kufanya kosa kufika Ulaya alaf ukazaa na MZUNGU, mara chache sana mambo yanaenda poa ila siku akikugeukia UTAJUTA, kwanza wanalindwa na sheria, ukiwa foreigner ndio kabisaaa, nimeshuhudia kesi nyingi sana za hawa wanandoa baba muafrica mama mzungu ambazo jamaa wanajuta, wako mitaani kama machizi kwa kuwa na stress, mara nyingi wanataka uzae nao tu yaani wapate mbegu thn kila mtu kimpango wake, ni bora uoe kwenu alaf umfanyie safari ya huko, pia hao unaoowa kwenu wengi tu wanabadilika baadae kutokana na sheria za huku, ww muhim ukiowa kwenu akifika ulaya mpige watoto watatu faster kabla hajaona mji vizuri pengine itakusaidia, na pia ukimuacha kwenu kama uko ulaya bas mabaharia watamvuruga sanaaa,

SJAWAHI KUWASOMA WANAWAKE

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah, Wanawake wa kizungu wanatia stress haoo, yaani usije kufanya kosa kufika Ulaya alaf ukazaa na MZUNGU, mara chache sana mambo yanaenda poa ila siku akikugeukia UTAJUTA, kwanza wanalindwa na sheria, ukiwa foreigner ndio kabisaaa, nimeshuhudia kesi nyingi sana za hawa wanandoa baba muafrica mama mzungu ambazo jamaa wanajuta, wako mitaani kama machizi kwa kuwa na stress, mara nyingi wanataka uzae nao tu yaani wapate mbegu thn kila mtu kimpango wake, ni bora uoe kwenu alaf umfanyie safari ya huko, pia hao unaoowa kwenu wengi tu wanabadilika baadae kutokana na sheria za huku, ww muhim ukiowa kwenu akifika ulaya mpige watoto watatu faster kabla hajaona mji vizuri pengine itakusaidia, na pia ukimuacha kwenu kama uko ulaya bas mabaharia watamvuruga sanaaa,

SJAWAHI KUWASOMA WANAWAKE

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ujumla huko mambele wanawake wanalindwa sana, le mutuz alimvuta mbongo mwenzie tena alimtoa dar hadi US ila kilichomkuta hakuamini ikabidi akimbie kutoka marekani hadi tz huku kavaa kaptula na makobaz tu
 
Kabisa mkuu, yaani ni vizuri upate mwanamke anaekupenda haswaaa, mkizinguana kidogo unapigwa ban mwanaume kutoingia nyumba yako mwenyewe, mshahara wote unaenda kwa watoto kuwashughulikia yaani wanakata hela yako unabikwa na hela kidogo tu, unapigwa ban kutowaona watoto wako mwenyewe, sasa apo usidate kichwa
Kwa ujumla huko mambele wanawake wanalindwa sana, le mutuz alimvuta mbongo mwenzie tena alimtoa dar hadi US ila kilichomkuta hakuamini ikabidi akimbie kutoka marekani hadi tz huku kavaa kaptula na makobaz tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ujumla huko mambele wanawake wanalindwa sana, le mutuz alimvuta mbongo mwenzie tena alimtoa dar hadi US ila kilichomkuta hakuamini ikabidi akimbie kutoka marekani hadi tz huku kavaa kaptula na makobaz tu
Hahaha...makobazi ni nini mkuu?
 
Hahaha...makobazi ni nini mkuu?
Kama upo jirani na msikiti wowote ukisikia adhana sogea karibu na msikiti halafu angalia viatu walivyopiga maustadh wale waliovaa kanzu, sasa zile sendo za maustadhi ndio makobaz
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah, Wanawake wa kizungu wanatia stress haoo, yaani usije kufanya kosa kufika Ulaya alaf ukazaa na MZUNGU, mara chache sana mambo yanaenda poa ila siku akikugeukia UTAJUTA, kwanza wanalindwa na sheria, ukiwa foreigner ndio kabisaaa, nimeshuhudia kesi nyingi sana za hawa wanandoa baba muafrica mama mzungu ambazo jamaa wanajuta, wako mitaani kama machizi kwa kuwa na stress, mara nyingi wanataka uzae nao tu yaani wapate mbegu thn kila mtu kimpango wake, ni bora uoe kwenu alaf umfanyie safari ya huko, pia hao unaoowa kwenu wengi tu wanabadilika baadae kutokana na sheria za huku, ww muhim ukiowa kwenu akifika ulaya mpige watoto watatu faster kabla hajaona mji vizuri pengine itakusaidia, na pia ukimuacha kwenu kama uko ulaya bas mabaharia watamvuruga sanaaa,

SJAWAHI KUWASOMA WANAWAKE

Sent using Jamii Forums mobile app
Obama tuu ndiyo aliwanyoosha. Baba yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watoto watakuwa Mali ya mama maisha yao yote? SEMA eboue alijisahau Sana kuwa kila shilingi anapewa mwanamke alipaswa kuwekeza kwao au kuwekeza miradi binafsi isiyo ya kifamilia SEMA alimuamini Sana ex wife wake sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia Trump kapiga mikataba ya awali kwamba kikinuka na Melania, basi mali hazihusiki
 
Back
Top Bottom