usihofu kuanzia kesho tutaanza kumsifia baba yako Mbowe, kwa leo vumilia. tunarekebisha tabia ya wezi wa wake za watu ili wanasiasa wetu wawe makini hivyo tulia hivyohiyvo endelea kunywa mnazi wako taratibu.
lakini pia kumbuka mpumbavu hujiamini sana ila mweredi huwa na hofu kwa kila jambo analotaka kufanya, naona unajiamini sana mkuu hongera na karibu janvini maana naona umejoin decenber 2014, karibu mgeni hapa tutakufunda, naona hujui kuwa Gwajima ni Mwanasiasa ila usihofu utajua hapa kuna walimu wazuri sana.