Camp Gilgal
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,453
- 4,592
usihofu kuanzia kesho tutaanza kumsifia baba yako Mbowe, kwa leo vumilia. tunarekebisha tabia ya wezi wa wake za watu ili wanasiasa wetu wawe makini hivyo tulia hivyohiyvo endelea kunywa mnazi wako taratibu.
Okay, Gwajima ni mwanasiasa? Mbowe is not my father either.
Imeandikwa, "Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye." - Mithali 26:4
Kwa heri! Siku njema!